Mahakama
nchini Ireland, imemhukumu kwenda jela wiki tisa, mtu aliyewahi kuwa
tajiri mkubwa nchini humo, Sean Quinn, kwa kosa la kuidharau mahakama.
Bilionea
huyo wa zamani aliyefilisika, alifungwa na Mahakama Kuu yaDublin kwa
kuweka dhamana zilizo nje ya uwezo wa benki iliyoporomoka ya Irish Anglo
Bank.
Mwezi
Juni, Quinn, mwenye umri wa miaka 66, alitiwa hatiani kwa kuidharau
mahakama hiyo, laikiwa kesi hiyo iliahirishwa kumruhusu kupitia
uhamishwaji wamalizilizokuwa zikimilikiwa na kampuni zake za Quinn
Group.
0 comments:
Post a Comment