Na.Gabriel Mbwille, Rungwe
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Ukwekwe iliyopo kata
ya Kiwira wilayani Rungwe mkoani Mbeya mapema leo wamefanya maandamano hadi
ofisi za waalimu wa shule hiyo huku wakiwa na fimbo kwa lengo la kwenda
kumchapa mmoja wa waalimu wa shule hiyo.
Tukio hilo limetokea baada ya Mkuu wa shul hiyo
TSALAVANDETHI MAHENGE kumtolea lugha kali mwalimu PETER KIBONA ambaye alikuwa
ameanawapatia adhabu wanafunzi wenye utovu wa nidhamu shuleni hapo.
Baada ya tukio la mkuu huyo wa shule kumtolea lugha
chafu mwalim huyo wanafunzi hao waliingiwa na ujasiri wa kuanza kukata fimbo na
kumfuta mwalimu PETER KIBONA ili waweze kulipa kisasi.
Akiongea na Bomba Fm mkuu wa shule hiyo TSALAVANDETHI
MAHENGE amekiri kufanya kosa dhidi ya mwalimu mwenzake hali iliyopelekea
kutokea kwa vurugu shuleni hapo na kuomba radhi kwa mwalimu aliyemfanyia tendo
hilo sanjari na waalimu wenzake shuleni hapo.

Akiongea na Mtandao huu mkuu wa shule hiyo TSALAVANDETHI
MAHENGE amekiri kufanya kosa dhidi ya mwalimu mwenzake hali iliyopelekea
kutokea kwa vurugu shuleni hapo na kuomba radhi kwa mwalimu aliyemfanyia tendo
hilo sanjari na waalimu wenzake shuleni hapo.
0 comments:
Post a Comment