Pages

Home » » TATIZO LA UPATIKAJANI WA NISHATI YA MAFUTA AINA YA PETROL NA MAFUTA YA TAA SASA IMEKUWA KERO JIJINI MBEYA

TATIZO LA UPATIKAJANI WA NISHATI YA MAFUTA AINA YA PETROL NA MAFUTA YA TAA SASA IMEKUWA KERO JIJINI MBEYA


Hali ya nishati ya mafuta ya magari na mafuta ya taa jijini mbeya sasa ni mbaya sana kwani ni kituo kimoja tu kinachuza nishati hiyo ya mafuta jijini mbeya  cha ORYX kilichopo mama john
Baadhi ya wananchi wa jijini mbeya wakiwa wamekesha kwenye kituo hicho toka jana mpaka sasa bado hawajapa mafuta kutokana na kuwa nafoleni kubwa ya magari na pikipiki huku wenye madumu wakiwa wamepanga foleni kuweza kubahatisha mafuta 
Baadhi ya vijana wamepata ajira isiyo rasmi kwa kulangua mafuta aina ya petrol shilingi 5000 kwa litamoja nao wakiwa wengi wao wamechoka na kulala kituoni hapo kusubiri kupata mafuta na kwenda kuyauza kwa bei ya juu
Bei halisi ya mafuta ni hiyo lakini sasa walanguzi bei imepanda kwa aina ya mafuta ya petrol lita moja kwa shilingi 5000 mpaka sh 6000 kwa lita moja
Hiki ndiyo kituo peke kinachouza nishati ya mafuta jijini Mbeya
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger