Wanajeshi saba wamarekani wa kitengo cha Elite
akiwemo mmoja wa maafisa wa jeshi aliyehusika na kumkamata na kumuua
Osama bin Laden wameadhibiwa kwa madai ya kutoa taarifa za siri za
marekani kinyume na sheria.
Saba hao walipata barua za nidhamu na kupokea nusu ya mishahara yao kwa kipindi cha miezi miwili .
Idara ya usalama ya marekani bado inachunguza iwapo maafisa zaidi wa kitengo cha Seal walihusika
Chanzo.BBC SWAHILI
0 comments:
Post a Comment