Mkurugenzi wa shirika la nyumba la taifa Nehemia Mchechu akiwa na mkuu wa wilaya ya Mbeya Norman Sigalla katika maandamano ya Jubilee ya miaka 50 ya shule ya sekondari Mbeya Day |
Wanafunzi wa shule ya mbeya sekondari wakipiga ngoma kuongoza maandamano hayo ya jubilee ya kutimiza miaka 50 ya shule hiyo |
Mgeni rasmi katika jubilee hiyo Mkurugenzi wa shirika la nyumba la taifa Nehemia Mchechu akivikwa skafu na mwanafunzi kuashiria kukaribishwa shuleni hapo |
Mgeni rasmi na mheshimiwa mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi wakitembelea shule hiyo ya Mbeya day ilikujionea maendeleo ya shule hiyo kwani mgeni rasmi na mweshimiwa mbunge walisoma hapo darasa moja |
Hapo mgeni rasmi akionyeshwa jinsi ya majengo ya shule hiyo yalivyo sasa |
Mgeni rasmi katika jubilee hiyo Mkurugenzi wa shirika la nyumba la taifa Nehemia Mchechu akipanda mti kama kumbukumbu ya kufika shuleni hapo |
Mkuu wa wilaya Mbeya Norman Sigalla akipanda miti |
Baadhi ya wanafunzi waliosoma zamani katika shule hiyo wakiwa pamoja katika sherehe ya kutimiza miaka 50 ya shule ya sekondari Mbeya Day |
Wote hawa niwanafunzi waliosoma shule ya Mbeya sekondari |
Baadhi ya watumishi wa shirika la nyumba waliungana na murugenzi wao katika kuadhimisha miaka 50 ya shule hiyo |
Wazazi pamoja na waandishi wa habari mkoa wa mbeya walihudhuria sherehe hiyo |
Wanafunzi wa shule ya Mbeya sekondari |
Ilikuwa ni furaha ya aina yake kukutana wanafunzi karibia wote waliosoma shule hiyo hapa wakipongezana |
Wanafunzi wakiimba wimbo wa taifa |
Hapa kwaya ya shule ikiimba wimbo maalumu wa kutimiza miaka 50 ya shule hiyo |
Mkuu wa wilaya Mbeya ametoa kiasi cha shilingi milioni 2 kuchangia ujenzi huo wa maabara ya kisasa |
Mheshimiwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ameta kiasi cha shilingi milioni 1 na vifaa vya michezo |
Mkurugenzi wa kampuni ya Celsoutions Sammy Zanny ambaye pia ni mwanafunzi aliyesoma hapo ametoa zaidi ya shilingi milioni 3 tatu kashi kuchangia ujenzi wa mahabara hiyo ya kisasa shuleni hapo |
Mkurugenzi wa kampuni ya Celsoutions Sammy Zanny akimkabidi mgeni rasmi pesa taslimu kiasi cha shilingi milioni 3 |
Mgeni rasmi katika jubilee hiyo Mkurugenzi wa shirika la nyumba la taifa Nehemia Mchechu akiwashukuru wote waliochangia na kufikisha kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 58 zilizopatikana leo |
Mwandishi wetu Joseph Mwaisango inaelekea akimsisitizia kitu mgeni rasmi mara baada ya kumalizika kwa sherehe hizo Picha na Mbeya yetu |
0 comments:
Post a Comment