Home »
» AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA MAFIATI MWANJELWA BODABODA NA GARI AINA YA GX 100 USO KWA USO
AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA MAFIATI MWANJELWA BODABODA NA GARI AINA YA GX 100 USO KWA USO
|
JIJI
LA MBEYA LINAZIDI KUKUA NA AJALI ZINAONGEZEKA HII NI AJALI YA PIKIPIKI
NA GARI AINA YA GX 100 IMETOKEA ENEO LA MAFIATI MBEYA KISA CHA AJALI
MWENYE PIKIPIKI AMEINGIA BARABARA KUU BILA YA KUTIZAMA PANDE ZOTE MBILI
KAMA KUNA GARI MATOKEO YAKE AMEINGIA NA KUGONGWA NA INASEMEKANA AMEUMIA
SANA MWENDESHA PIKIPIKI |
|
Mpaka sasa haijajulikana majeruhi wangapi ttukipata taarifa tutawajuza
picha na mbeya yetu |
0 comments:
Post a Comment