Pages

Home » » SERIKALI IMEINGIA MKATABA KWA AJILI YA UJENZI WA DARAJA LA KILOMBERO

SERIKALI IMEINGIA MKATABA KWA AJILI YA UJENZI WA DARAJA LA KILOMBERO

 


 Mtendaji Mkuu wa Tanroads Mhandisi Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto) na  Mtendaji Mkuu kutoka kampuni ya ujenzi ya China Railway 15 Bureau group Corporation (CR15G) Zhang Tonggang (kulia) wakiweka saini mkataba wa ujenzi wa daraja la  Kilombero lenye urefu wa  meta 384 na ujenzi wa barabara zake za miingilio za lami( kilometa 9.142).na jenzi wake utagharimu shilingi bilioni 53.2 .Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.na kushuhudiwa na Waziri wa Ujenzi, Dkt, John Magufuli (mwenye miwani) na kulia kwake na katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Herbert Mrango.Pichani kutoka kushoto ni  Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Tanroads , Bibi Hawa Mmanga,Mbunge wa  Mikumi- Abdul Salim Ameir na Mbunge kutoka Morogoro Kusini Innocent Kalgeris
Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale (kulshoto) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi ya China  Railway  15 Bureau Group Corporation (CR15G) Bw, Zhang Tonggang (kulia) wakibadilishana hati baada ya kuweka saini kwaajili ya ujenzi wa darala la Kilombero mkoani Morogoro, Daraja hilo lenye urefu wa kilometa 384 litagharimu shilingi bilioni 53.2. .Ujenzi wa daraja hilo utaziunganisha Wilaya za Mahenge na Ulanga. pamoja na kuboresha Usafiri wa mikoa ya kusini  na kuleta kichocheo cha ukuaji wa shughuli za kiuchumi. (Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo) 
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger