wachezaji wa mpira wa pete kutoka chuo cha TEKU kabla ya kuanza mchezo
wachezaji wa SAUT na TEKU wakiendelea na mchezo wa mpira wa pete
wazezaji wa volleyball wakipambana katika uwanja wa zimanimoto
Baadhi ya mashabiki waliokuwa wakifuatilia pambano
kabla ya kuanza mchezo
wachezaji SAUT
wachezaji TEKU
mashabiki wakishuhudia upigaji wa penati
WANAFUNZI wa chuo kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) kutoka mkoani
Mbeya wameweza kuichapa timu ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Mt.Agustino
tawi la Songea kwenye mchezo wa kirafiki wa mpira wa miguu uliofanyika
katika uwanja wa Majimaji uliopo kwenye manispaa ya Songea.
Mchezo huo ulitanguliwa na michezo mingine ambapo awali kulikuwa na
mchezo wa pete kwa wasichana ambapo TEKU waliweza kuilaza timu ya
wasichana kwa jumla ya alama kumi na mbili kwa alama saba, huku mchezo
mwingine ulikuwa ni mpira wa wavu ambapo SAUT waliweza kuishinda licha
ya kupoteza michezo mingine miwili japokuwa wao wakiwa wenyeji wa mchezo
huo.
0 comments:
Post a Comment