Rais
Jakaya Kikwete (katikati) akizungumza na Makamu Mwenyekiti Bara CCM,
Phili Mangula (kulia) na Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) Picha na Ikulu.
Wengine waliofanikiwa kutetea nafasi zao ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Dk. Ali Mohamed Shein aliyechaguliwa tena kuwa Makamu Mwenyekiti CCM upande wa Zanzibar baada ya kujizolea kura zote 2397.
Wajumbe 10 wa NEC waliopita pamoja na kura zao kwenye mabano ni; Stephen Wassira (2,135), January Makamba (2,093), Mwigulu Nchemba (1,967), Martine Shigela (1,824), William Lukuvi (1,805), Bernard Membe (1,455), Mathayo David Mathayo (1,414), Jackson Msome (1,207), Wilson Mukama (1,174), pamoja na Fenela Mukangara (984).
0 comments:
Post a Comment