Home »
» Watakaotangaza Uchochezi Wa Uamsho Kufungiwa
Watakaotangaza Uchochezi Wa Uamsho Kufungiwa
Meneja wa Baraza la Habari kanda ya Zanzibar(MCT)Suleiman Seif Omar
akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusu tamko la
Tume ya utangazaji Zanzibar kupiga marufuku kuripoti taarifa za UAMSHO
zenye kuashiria uvunjifu amani kushoto ni Kaimu Katibu Mtendaji wa MCT
John P.Mireny.
0 comments:
Post a Comment