Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa na mkewe Mama
Regina Lowassa wakiungana na Wakristo wengine kwenye ibada ya Sikukuu ya
Krismas iliyofanyika leo kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT),Mwanakwerekwe Zanzibar.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa salaam za
Xmas kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT),Mwanakwerekwe Zanzibar mara baada ya ibada ya Sikukuu hiyo
leo.Mh. Lowassa yuko visiwani humo kwa mapumziko ya sikukuu hiyo,ambapo
amewataka watanzania kusherehekea sikukuu hizi za krismas na mwaka mpya
kwa amani na upendo huku tukilinda umoja na mshikamano uliojengwa na
waasisi wetu Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Karume.
0 comments:
Post a Comment