Pages

Home » » M23 Wawasili Kampala Kwa Mazungumzo

M23 Wawasili Kampala Kwa Mazungumzo

Waakilishi wa serikali ya Jamhuri ya Demokrasi ya Congo na wapiganaji wa wanakusanyika mjini Kampala, Uganda, kwa mazungumzo.
Watu zaidi ya nusu milioni wamekimbia makwao katika ghasia tangu wapiganaji hao walipoasi na kutoka katika jeshi la Congo mwezi wa Aprili.
Waziri wa taifa wa Uganda anayehusika na mashauri ya nchi za nje, Henry Okello Oryem, amesema kuwa mazungumzo hayo yanaweza kuendelea kwa miezi kadha kabla ya kufikia suluhu na maafikiano kutekelezwa.
BBC/SWAHILI
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger