|
katibu mwenezi
wa wilaya ya Mufindi Daud Yassin Kushoto akiangana na makamu
mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula mchana huu baada ya
kufika mpakani mwa Iringa na Njombe |
|
Nyimbo za mapokezi ya Mangula |
|
Bw Deo Mnyika Kushoto akiteta jambo na mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe katika uwanja wa mkutano mjini Makambako |
|
Makamu
mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangulla wa pili kushoto akiwa na
viongozi wa mkoa wa Njombe leo baada ya kuwasili uwanja wa mikutano
wa Makambako |
|
Mbunge wa jimbo
la Ludewa Deo Filikunjombe (kulia) akimkaribisha makamu mwenyekiti
Tazania bara Bw Philip Mangula leo mkoani Njombe |
Makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Tanzania bara Bw
Philip Mangula amepata mapokezi makubwa katika mji wa Makambako wilaya
ya Njombe mkoa mpya wa Njombe baada ya kuwasili mchana huu
akitokea jijini Dar es Salaam.
Mangula ambae amepokelewa eneo la saja mpakani mwa mkoa wa Iringa
na Njombe amewasili mjini Njombe mida ya saa 7 mchana akiwa
ameongozana na viongozi wa CCM mkoa wa Iringa wakiongozwa na
mwenyekiti wa CCM mkoa huo Jescar Msambatavangu na viongozi wa wilaya
ya Mufindi wakiongozwa na katibu mwenezi wa wilaya hiyo Daud Yassin.
0 comments:
Post a Comment