Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa
gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi
Desemba 15, 2012 tayari kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi 192
waliohitimu chuoni hapo.
PICHA NA IKULU
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la maafisa
wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo
Jumamosi Desemba 15, 2012 kabla ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao
192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa jukwaa kuuna maafisa wakuu wa jeshi
Gwaride
la maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli,
Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 wakati wa kuwakutunuku kamisheni
maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni kwa maafisa
wanafunzi 192 katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo
Jumamosi Desemba 15, 2012
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi
kamtaba ya kisasa katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha,
leo Jumamosi Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa
hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea Maktaba ya kisasa
katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi
Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192
waliohitimu chuoni hapo.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
wakitembelea bweni namba 15 ambamo Rais Kikwete alikuwa akiishi wakati
akiwa mafunzoni hapo katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli,
Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 kabla ya kuwakutunuku kamisheni
maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
0 comments:
Post a Comment