VIWANJA VINAVYOUZWA NI HIVYO VILIVYOWEKEWA ALAMA NYEKUNDU VINATIZAMANA NA UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA |
PICHA YA VIWANJA HIVYO NI ZAIDI YA HEKA NNE KWA VIWANJA VYOTE |
UKIANGALIA KWA MBALI UNAONA MNARA WA KUONGOZEA NDEGE WA SONGWE VVIWANJA HIVI NI HALALI NA VIMEPIMWA NA NYARAKA ZOTE ZA KUMILIKI VIWANJA HIVI ZIPO |
KWA MAWASILIANO NA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU HIZI 0754 31 02 29 NA 0754 37 44 08 |
0 comments:
Post a Comment