Pages

Home » » Tangazo Maalum Kutoka Wizara ya Afya na Ustawi Wa Jamii:Yah,wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya nchini kwa mwaka wa masomo 2012/13

Tangazo Maalum Kutoka Wizara ya Afya na Ustawi Wa Jamii:Yah,wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya nchini kwa mwaka wa masomo 2012/13



TANGAZO
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inawatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya nchini kwa mwaka wa masomo 2012/13 kama ilivyotangazwa  katika vyombo vya habari, kuripoti vyuoni haraka iwezekanavyo. Vyuo vilifunguliwa tarehe 12 Novemba 2012 na mafunzo  tayari yameanza.  Mwisho wa kuripoti ni tarehe 9 Desemba 2012.Baada ya tarehe hiyo nafasi yako itajazwa na mtu mwingine .

Tangazo hili limetolewa na :-
Kaimu Katibu  Mkuu
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
S.L.B. 9083
Dar es Salaam.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger