Pages

Home » » POLISI MBEYA WATOA MAFUNZO KWA MBWA WA URAIANANI

POLISI MBEYA WATOA MAFUNZO KWA MBWA WA URAIANANI

MBWA wa kiraia 12 kutoka katika maeneo mbalimbali ya jijini Mbeya wamepatiwa mafunzo na jeshi la polisi ya kupambana na wezi na vibaka ili kuimarisha ulinzi.

Mafunzo yametolewa na jeshi la polisi mkoani Mbeya katika kitengo cha mafunzo ya farasi na Mbuwa ambapo wamepatiwa mafunzo jinzi ya kumtambua mwizi na jinsi ya kumkamata.

Akifunga mafunzo hayo ya mbwa kaimu kamada wa polisi mkoa wa Mbeya, Barakael Masaki alisema mafunzo hayo yatakuwa chachu ya ulinzi shirikisha kwani sasa mafunzo hayo ni ya kwanza kwa mbwa wa kiraia.

Alisema mafunzo hayo yatakuwa chachu kwa raia wengine wenye mbwa kupeleka mbwa wao kupata mafuzo hayo ya ulinzi salama majumbani mwao.

Masaki aliongeza kuwa jeshi hilo limekuwa likitoa mafuzo ya mbwa kwa miaka mingi japo kuwa wananchi walikuwa hawatambui kutolewa kwa mafuzo hayo ya kisasa.

Alisema mafinzo ya mbwa kuwa ni ajira kama ajira zingine kwa wale waloo peleka mbwa wao katika mafunzo watakuwa babarozi wazuri na kuwa waalimu kwa wenzao.

Alisema kuwa mbwa wanaakili kama za binadamu kwani anafundishika kama akielewa nini cha kufanya na hutekeleza kile anacho elekezwa na hufanya kwa umakini.

Alisema mbwa aliyepatiwa mafunzo anaweza kuwa mlinzi salama na anaweza kupunguza gharama za kuajili walinzi majumbani kama ukiwanae.

Mafunzo hayo yalifungwa mwishoni mwa mwaka jana ambapo mafuzo yalidumu kwa muda wa miezi milili kuanzia Novemba mosi hadi Disemba 31 mwaka jana, pia mbwa hao walicheza gwalide wakiongozwa na askali wa jeshi la Polisi.

Alisema mafuzo hayo ya mbwa 12 yamegharamiwa na jeshi la polisi ambapo kutakuwa na mafuzo mengine ambayo yatagharamiwa na mwenyembwa na zitatolewa fomu za kuandikisha mbwa watakao patiwa mafuzo nakuwa wananchi watatanzaziwa itakapofika wakati wa kuandikisha.

Mbwa hapo pia watatumiwa na jeshi la polisi katika kusaka wahalifu endapo utatokea katika maeneo waliopo mbwa hao ambapo kama ujharifu utatokea katika kata ambayo kuna mbwa akali wata mfuata mbwa aliyepata mafunzo na kuwasaka waharifu. 

Alitoa vyeti kwa wafugaji wa mbwa hao ambao wametoka katika maeneo ya Uyole, Pambogo, Iwambi, Sabasaba, Forest Mpya, Sai na Uzunguni hapa jijini Mbeya. 
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger