Pages

Home » » Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete waongoza watanzania mazishi ya SAJUKI

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete waongoza watanzania mazishi ya SAJUKI

saju1 6be0d
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko '
Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam
saju2 c6ff7
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko '
Sajuki' Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo ambako walienda kutoa pole Januari 4, 2013.


saju3 1cb9a
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko '
Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam Januari 4, 2013.
saju4 f0b50
PICHA NA IKULU
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger