Rais mstaafu
Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akizungumza na Wajumbe waTumeya Mabadiliko
ya Katiba walioongozwa na Mwenyekitiwa Tume hiyo Jaji, Joseph Warioba
(kulia). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu (kulia) leo
(jumamosijanuari 26, 2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika
uandishi wa Katiba Mpya.
Rais mstaafu
Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha mawazo na Mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, kulia Dkt. Salim Ahmed (kulia) Salim na Makamu
Mwenyekiti Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani (katikati). Wajumbe wa
Tume walikuta na Rais huyo mstaafu (kulia) leo (jumamosijanuari 26,
2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha na mawazo na Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu mstaafu,
AugustinoRamadhani (kulia). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo
mstaafu (kulia) leo (jumamosijanuari 26, 2013) ili kupata maoni na
uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
0 comments:
Post a Comment