Home »
» IDI EL FITRI YA SHEREHEKEWA KWA VIJANA WA KIISLAMU KUPEWA ZAWADI BAADA YA KUSHIRIKI VYEMA KWENYE MASHINDANO YA KUSOMA QURAAN TAKATIFU
IDI EL FITRI YA SHEREHEKEWA KWA VIJANA WA KIISLAMU KUPEWA ZAWADI BAADA YA KUSHIRIKI VYEMA KWENYE MASHINDANO YA KUSOMA QURAAN TAKATIFU
Mmoja kati ya majaji na walimu waliowanoa watoto hao Masoud Salim(kushoto) akizungumza kwa niaba ya majaji wenzake Waumini wa msikiti wa Ijumaa Iringa wakifuatilia mashindano hayo
Timu ya waratibu wakijiandaa kwa kutoa zawadi chini ya mgeni rasmi mstahiki meya wa Iringa Aman Mwamwindi (kulia)
Mgeni rasmi Mshtahiki meya wa manispaa ya Iringa Aman Mwamwindi akikabidhi zawadi kwa washindi
Jopo la majaji
mmoja kati ya washiriki
Changamoto imetolewa kwa waumini
wa dini ya Kiislam mkoani Iringa pindi wanapoanzisha mashindano mbali mbali kwa
ajili ya watoto pia kukumbuka kuwatazama walimu ambao wamewawezesha watoto hao
kufanya vema.
Changamoto hiyo imetolewa mapema leo wakati wa mashindano ya kiongozi wa majaji
Masoud Salim kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi mstahiki meya wa Iringa Aman
Mwamwindi kukabidhi zawadi kwa washindi wa shindano hilo
Mkoani Mbeya waumini wa
Dini ya Kiislamu mkoani hapawameungana na waislamu duniani kote siku ya leo
Jumapili kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitri na kumshukuru Mwenyezi Mungu
Mtukufu baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Swala ya Idul Fitri mkoani hapa
imefanyika katika msikiti wa mkoa ulipo soko matola barabara ya nane kuongozwa
na shehe wa wilaya ya Mbeya ABUBAKARI ATHUMAN MKETO.
Lengo la ibada ya leo ni
kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa taufiki ya kukamilisha mwezi mtukufu wa
Ramadhani.
Katika ibada hiyo ABUBAKARI
ATHUMAN MKETO ameitaka jamii kushiriki kwenye Sensa itakayofanyika kwa siku 7
hapa nchini kuanzia agosti 27 na kuwataka waislamu kuendelea kutenda mema
katika kipindi chote cha maisha yao.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment