Mwandishi Mkongwe hapa nchini,Mzee
Phill Karashani ambaye aliwahi kupata tuzo ya Maisha ya Mafanikio katika
Tasnia ya Habari mwaka 2011,katika tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka
2011,akifafanua jambo kwenye semina elekezi ya jinsi ya ushiriki wa
vyombo vya habari kuhusiana na mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya
iliyowahusu Wanahabari/Wachora Katuni na wadau wengine mbalimbali
iliyofanyika kwenye moja ya ukumbi wa Land Mark hotel,Ubungo jijini Dar
Es Salaam.Semina hiyo imeandaliwa na Kikundi Cha Sheria na Haki za
Binadamu Cha TIFPA kwa Msaada wa Shirika la Ford Foundation la Marekani .
Baadhi ya Wanahabari,Wachora Katuni
na Wadau wengine mbalimbali wakifuatilia mada mbali mbali zilizokuwa
zikitolewa kwenye semina elekezi ya jinsi ya ushiriki wa vyombo vya
habari kuhusiana na mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya iliyofanyika
kwenye moja ya ukumbi wa Land Mark hotel,Ubungo jijini Dar Es
Salaam.Semina hiyo imeandaliwa na Kikundi Cha Sheria na Haki za Binadamu
Cha TIFPA kwa Msaada wa Shirika la Ford Foundation la Marekani .hiyo
kuhusiana na mchakato wa kutoa maoni kuhusu Katiba Mpya na pia namna ya
kuielimisha jamii katika umuhimu wa kushiriki
Mchora Katuni mahiri Masoud Kipanya
na Mmoja wa watangazaji wa kutoka Times FM Radio Ibrahim Issa
wakifuatilia mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiendelea kwenye semina
elekezi ya jinsi ya ushiriki wa vyombo vya habari kuhusiana na mchakato
wa mabadiliko ya Katiba Mpya iliyofanyika kwenye moja ya ukumbi wa Land
Mark hotel,Ubungo jijini Dar Es Salaam.Semina hiyo imeandaliwa na
Kikundi Cha Sheria na Haki za Binadamu Cha TIFPA kwa Msaada wa Shirika
la Ford Foundation la Marekani .
Naibu Mhariri Mtendaji wa Free Media
ambao ni wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima na Sayari, Ansbert
Ngurumo akifafanua jambo mapema leo kwenye semina elekezi ya jinsi ya
ushiriki wa vyombo vya habari kuhusiana na mchakato wa mabadiliko ya
Katiba Mpya iliyofanyika kwenye moja ya ukumbi wa Land Mark hotel,Ubungo
jijini Dar Es Salaam,kushoto kwake ni Mwandishi Mkongwe hapa
nchini,Mzee Phill Karashani
Mwenyekiti wa Kikundi Cha Sheria na
Haki za Binadamu Cha TIFPA (Chama Cha Wanafunzi waliofadhiliwa na
Shirika la Ford Foundation la Marekani) akielezea jambo kwa
Wanahabari,Wachora Katuni na wadau wengine mbalimbali kwenye semina
elekezi ya jinsi ya ushiriki wa vyombo vya habari kuhusiana na mchakato
wa mabadiliko ya Katiba Mpya.
Mijadala ikiendelea kwenye semina
hiyo elekezi ya jinsi ya ushiriki wa vyombo vya habari kuhusiana na
mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya
Mwandishi Mwandamizi kutoka Magazeti
ya Serikali,Beda Msimbe akifuatilia mijadala mbalimbali iliyokuwa
ikitolewa kwenye semina elekezi ya jinsi ya ushiriki wa vyombo vya
habari kuhusiana na mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya.
Washiriki wa Semina hiyo wakifuatilia mijadala iliyokuwa ikiendelea kwenye semina hiyo.
Washiriki wa Semina hiyo wakifuatilia
mijadala iliyokuwa ikiendelea kwenye semina hiyo elekezi ya jinsi ya
ushiriki wa vyombo vya habari kuhusiana na mchakato wa mabadiliko ya
Katiba Mpya.
0 comments:
Post a Comment