Pages

Home » » MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA TANZANIA DAIMA CHRISTOPHER NYENYEMBE AFANIKIWA KUTETEA NAFASI YAKE YA UWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLUB

MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA TANZANIA DAIMA CHRISTOPHER NYENYEMBE AFANIKIWA KUTETEA NAFASI YAKE YA UWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLUB

Mwenyekiti mpya wa Mbeya Press Club aliye simama ndugu Christopher Nyanyembe akitoa Shukrani zake
Ilikuwa ni mapema baada ya uchaguzi ambapo kiongozi mpya Christopher Nyanyembe alipongezana na mpinzani wake, kiongozi huyo mpya ameshinda kwa kura 27



 Hapa iikuwa ni nderemo na vifijo 
 Waandishi wa habari wakiwapongeza viongozi wapya
Hii Ndio kamati kuu Iliyo chaguliwa katika kuendesha Klabu ya waandishi Mbeya, akiwemo mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Ndugu Joseph Mwaisango wa Kwanza kulia kwa walio simama

 

 Waandishi wa Habari wakijiandaa na mkutano huo wa uchaguzi



 Waandishi wa habari wakisikiliza kwa umakini, Wa kwanza kabisa anaitwa Ndugu Mwakipesile
 Waandishi wa Habari wakichukuwa yanayojili katika mkutano huo mkuu 
 Baadhi ya waandishi wa habari wakifurahia Jambo
 Mtangazaji wa Bomba FM Dj Fredy Helbert  Aliye valia Tshirt nyeusi kati kati akifuatilia kwa umakini mkutano mkuu
Kikao Cha uchaguzi kinaendelea
 
Na Gabriel Mbwille, Kyela.
Hatimae mwenyekiti wa chama cha wanahabari mkoa wa Mbeya CHRISTOPHER NYENYEMBE amefanikiwa kutetea nafasi yake baada ya kumsihinda mpinzani wake mwanahabari kutoka kituo cha televishion cha Taifa HOSEA CHEYO kwa kura 27 kati ya 49 zilizopigwa.

Uchaguzi huo umefanyika wilayani Kyela ambapo HOSEA CHEYO alipata kura 22 wakati NYENYEMBE akipata kura 27, nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho imechukuliwa na MODEST NKULU kwa kupata kura 26 dhidi ya kura alizopata mpinzani wake MAMA LAWA aliyepata Kura 22.

Nafasi ya mweka hazina wa klabu imechukuliwa na PENDO FUNDISHA aliyepita bila kupigwa huku nafasi ya katibu MERALI CHAWE mwandishi wa habari kutoka HABARI LEO akishindwa kutetea nafasi yake kwa kubwagwa na KENETH MWAZEMBE aliyepata kura 31 dhidi ya 17 alizopata CHAWE.

Aidha nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na CHARLES MWAKIPESILE kwa kipindi kirefu sasa imechukuliwa na MESHAKI NJAVIKE, nafasi ya Uchumi, mipango na mafunzo imechukuliwa na FESTO SIKAGONAMO.

Kwa upande wa wajumbe ni CHARLES MWAKIPESILE, EASTER MACHA na JOSEPH MWAISANGO.
 
 
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger