Diwani Jescar Msambatavangu akipongezwa kwa kuendeleza michezo mjini Iringa
Diwani Jescar Msambatavangu akishukuru kwa zawadi
Mchezaji wa timu ya Twiga star akionyesha zawadi yake
Diwani Jescar akicheza kwa furaha baada ya kukabidhiwa zawadi yake
Mchezaji wa kike Lucy Laswai akionyesha ujuzi katika kufunga goli
Mlinda mlango wa timu ya Mlandege akiwa amekaa chini baada ya kushindwa kudaka mpira
mashindano yaliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali ya IDYDC kwa lengo la kuelimisha vijana dhidi ya madhara ya utumiaji wa pombe na upimaji wa VVU yamefana katika viwanja vya Mlandege mjini Iringa.
Huku shiriki hilo la IDYDC likimpongeza diwani wa kata ya Miyomboni Kitanzia Jescar Msambatavangu kwa jitihada zake za kuendeleza michezo kwa wanawake mjini Iringa.
0 comments:
Post a Comment