Pages

Home » » BREAKING NEWS: Katibu wa BAKWATA Arusha amelazwa hospitali ya Mount Meru baada ya kujeruhiwa vibaya kufuatia nyumba yake kulipuliwa usiku wa leo

BREAKING NEWS: Katibu wa BAKWATA Arusha amelazwa hospitali ya Mount Meru baada ya kujeruhiwa vibaya kufuatia nyumba yake kulipuliwa usiku wa leo

kaBlog hii imepokea taarifa muda huu kuwa Katibu wa BAKWATA Arusha alietambuliwa kwa jina la Abdulkarim Jonjo, amelazwa hospitali ya Mount Meru kama anavuoonekana pichani baada ya kujeruhiwa vibaya kufuatia nyumba yake kulipuliwa usiku wa leo na kitu kinachohisiwa kuwa ni bomu la kutengeneza kienyeji.

Tunaomba radhi kwa ubora hafifu wa picha hii. Baadae kidogo tutakuletea taarifa kamili
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger