Pages

Home » » MMOJA AFYA KTK AJAL YA GARI MKOANI MOROGORO MCHANA WA LEO

MMOJA AFYA KTK AJAL YA GARI MKOANI MOROGORO MCHANA WA LEO

Ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Mikese mkoani Morogoro, roli aina Scania 113- T204 AKR likitoke Mbeya na mzigo wa viazi mviringo kuelekea Dar liliacha njia na kuanguka pembeni mwa barabara baada ya kugonga mti na kuua mtu mmoja aliekuwemo. Mashuhuda wa tukio hilo waliwaeleza wanahabari kwamba aliyekufa ni utingo wa lori hilo wakati dereva alitokomea porini baada ya ajali huku mwili wa marehemu ukipelekwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger