Pages

Home » » Trafiki Anaposamehe Crown Kukimbilia Gari

Trafiki Anaposamehe Crown Kukimbilia Gari

Crown hii ilitelekezwa porini na askari ambaye namba zake zinahifadhiwa akiwa katika harakati za kukimbilia 'pila' baada ya kutembelea eneo la ajali jirani na Mikese mkoani Morogoro. Ajali hiyo ya lori (kama linavyoonekana pichani chini) ilitokea majira ya saa 6 mchana, lakini hadi saa 9 alasiri wakati Mjumbe akipita hapo ilikuwa imetelekezwa porini huku kukiwa hakuna dalili za crown hiyo kuchukuliwa na Jeshi la Polisi. Hii ni hatari sana kama ingeangukia mikononi mwa 'wajanja'.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger