Pages

Home » » Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Jamii (SSRA) yatoa Semina kuhusu sekta ya Hifadhi ya Jamii kwa Wabunge, Bungeni Dodoma

Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Jamii (SSRA) yatoa Semina kuhusu sekta ya Hifadhi ya Jamii kwa Wabunge, Bungeni Dodoma

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifuatilia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Jamii Bi. Irene Isaka (Hayupo Pichani) alipokuwa akiwasilisha maada kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Sekta ya Hifadhi ya Jamii Nchini. Wengine ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi Mhe. Andrew Chenge pamoja na Waziri wa Kazi na ajira Mhe. Gaudensia Kabaka
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Jamii Bi. Irene Isaka akiwasilisha maada kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Sekta ya Hifadhi ya Jamii Nchini.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Dkt. Emmanuel Humba akitoa maelezo kuhusu huduma za Mfuko Taifa wa Bima ya Afya kwa Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Pius Msekwa Dodoma 
 Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) Dkt. Agrey Mlimuka akiwasilisha mada kuhusu huduma za Hifadhi ya Jamii Nchini kwa Waheshimiwa Wabunge 
Wadau kutoka Mifuko ya Jamii wakifuatilia mada hizo
Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Jamii Bi. Sara Msika akishiriki semina hiyo
Waheshimiwa wabunge wakifuatilia mada katika semina hiyo
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger