Pages

Home » » Dkt.Bilal Akutana Na Watanzania Waishio Mexico

Dkt.Bilal Akutana Na Watanzania Waishio Mexico

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu, (wawili kushoto) na mmoja (kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia watanzania 3 baada ya wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao hao
-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu (wawili kushoto na mmoja kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia watanzania 3 baada ya wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao hao. Picha na OMR
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger