Waziri
Mkuu Mizengo akipokea maelezo ya shamba kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa
Katavi, Dk. Rajab Rutengwe (wa pili kulia) wakati alipoenda kukagua
shamba la Mkuu huyo wa Mkoa Desemba 18, 2012 eneo la tenki fupi kata ya
Nsimbo, wilayani Mlele, Katavi. Kulia ni Bi. Yusta Kipande na (kushoto)
ni Bi. Grace Donald wanaofanya kazi kwenye shamba hilo . (Picha na Irene
Bwire wa OWM).
Waziri
Mkuu Mizengo akipalilia mahindi ili kumwonyesha Bi. Yusta Kipande namna
ya kupandisha udongo kwenye mche wa muhindi wakati wa palizi wakati
akikagua shamba la Mkuu wa Mkoa wa Katavi Desemba 18, 2012 eneo la tenki
fupi kata ya Nsimbo, wilayani Mlele, Katavi. Bi. Kipande ni mfanyakazi
katika shamba hilo. (Picha na Irene Bwire wa OWM).
0 comments:
Post a Comment