Home »
» MKUTANO WA CCM WAFANA MBEYA LICHA YA KUTAWALIWA NA USHABIKI WA KISIASA SUGU AWATULIZA WAFUASI WAKE WASILETE FUJO KWENYE MKUTANO HUO
MKUTANO WA CCM WAFANA MBEYA LICHA YA KUTAWALIWA NA USHABIKI WA KISIASA SUGU AWATULIZA WAFUASI WAKE WASILETE FUJO KWENYE MKUTANO HUO
|
Baadhi ya wananchi na
wapenzi wa CCM Wilaya ya Mbeya Mjini wakiwa katika mkutao huo uliyofanika katika kiwanja cha kabwe mwanjelwa
|
|
Hapa Naibu Waziri wa Elimu
Mhe.Mulugo akiongea na wananchi na wapenzi wa ccm huku akielezea sera za chama cha mapinduzi na mikakati yake
|
|
M/Kiti wa CCM Mkoa
wa Mbeya Mhe.Godfrey Zambi(mb),akiwasalimia na kuwahutubia wananchi na wanaCCM
wa Mbeya Mjini hiyo jana
|
|
Viongozi mbalimbali wachama walikuwepo mkutanoni hapo |
|
Vituko
vimeanza hapa mkuu wa wilaya Mbeya Norman Sigalla akipokwea na wafuasi
wa chadema upande wa pili wa barabara kuu iendayo tunduma |
0 comments:
Post a Comment