Mabingwa
wa Kombe la Ujirani Timu ya hoteli ya Seronera wakifurahia ushindi
baada ya kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge
katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo.
Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju
ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani
wao.
(PICHA NA IKULU)
Nahodha
wa hoteli ya Seronera Jamali Kitonga akifurahia baada ya kukabidhiwa
kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya Kikwetebaada ya timu yake kuilaza
kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa
Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara Hasdi mechi inaisha
timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo
Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli ya Seronera
Jamali Kitonga kombe la Ujirani mwema baada ya timu hiyo kuilaza kwa
mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi
ya Serengeti mkoani Mara leo Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare
ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4
na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya Four
Seasons Safari Lodge kabla ya kucheza na hoteli ya Serena katika Uwanja
wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi mechi
inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati
ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya
Serena kabla ya kucheza na hoteli ya Four Seasons safari Lodge katika
Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi
mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya
penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua timu ya hoteli ya Serena kabla ya
kucheza na hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru
katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi mechi inaisha timu
hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena
walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiikagua timu ya hoteli ya Serena kabla ya
kucheza na hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru
katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi mechi inaisha timu
hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena
walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
0 comments:
Post a Comment