Pages

Home » » Statement Ya Tanzania Kwenye Mkutano Wa Mazingira Doha

Statement Ya Tanzania Kwenye Mkutano Wa Mazingira Doha


Mh. dkt Terzya Huvisa, waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ambae pia ni Rais wa Baraza la Mawaziri wa Mazingira Afrika akipitia statement ya Tanzania kabla ya kuwasilisha kwa Rais wa COP 18,katika mkutano wa dunia wa 18 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea hapa Doha.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger