Pichani
Juu na Chini ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi ya Tirima Enterprises
ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wakifanyakazi ya kujitolea
kuzibua mitaro katika Mtaa wa Mtambani relini eneo la Vingunguti ikiwa
ni kampeni ya kuhamasisha wakazi wa Vingunguti kufanya usafi katika
maeneo yao kutokana na kushambuliwa na magonjwa wa kipindupindu mara kwa
mara.
NEW VIDEO:- CHRIS BEE - SIENDI MBALI
6 years ago
0 comments:
Post a Comment