Pages

Home » » MBUNGE WA MBEYA ,JOSEPH MBILINYI KUZINDUA INTERNET CAFE YA IZZO BIZNESS MBEYA LEO

MBUNGE WA MBEYA ,JOSEPH MBILINYI KUZINDUA INTERNET CAFE YA IZZO BIZNESS MBEYA LEO

INTERNET CAFE INAYOMILIKIWA NA MSANII WA MZIKI WA BONGO FLEVA , MIONDOKO YA HIP HOP NCHINI ,EMMANUEL SIMWIGA AKA IZZO BIZNESS INATARAJIWA KUZINDULIWA KESHO JIJINI MBEYA, INTERNET CAFE HIYO AMBAYO IKO NDANI YA CHUO CHA TEOFILO KISANJI UNIVERSITY (TEKU) , ITAZINDULIWA RASMI  LEO TAR 4/01/2013
 
NA MHESHIMIWA MBUNGE WA MBEYA ,JOSEPH MBILINYI,
 
HUO NI MPANGILIO WA NDANI KATIKA OFISI HIYO YA IZO B, UWEKEZAJI AMBAO UNAMANUFAA NA MFANO MKUBWA KWA VIJANA KUJITUMA NA KUKUMBIKA KUWEKEZA KWAO
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger