Pages

Home » » JE SIMBA SC INAWEZA KUTEGEKA!SIMBA KUBOMOLEWA TENA.... MRISHO NGASSA KUSAJILIWA YANGA KWA MILIONI 120

JE SIMBA SC INAWEZA KUTEGEKA!SIMBA KUBOMOLEWA TENA.... MRISHO NGASSA KUSAJILIWA YANGA KWA MILIONI 120

Klabu ya Yanga ipo katika mpango wa kumsajili mchezaji Mrisho NgasSa kwa shilingi milioni 120. 

Habari kutoka ndani zinasema baadhi ya viongozi wa Yanga wako katika mazungumzo na uongozi wa Azam ili kumrudisha mchezaji huyo katika timu yake ya zamani. 

NgasSa ambaye mwaka juzi na mwaka jana alikipiga katika klabu ya Azam na sasa amepelekwa kwa mkopo katika klabu ya Simba huenda akatua tena jangwani, Licha ya kuwa kuna taarifa kwamba Simba hawataki mchezaji huyo aondoke.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger