Wajumbe wastaafu toka baraza la wafanyakazi la NBS wakiwa katika picha
ya pamoja na mgeni rasmi wa kwanza kushoto ni Mariam Mtalika,wa pili
kushoto ni mgeni rasmi Dkt Warioba anayefuatia ni Eliada Magoma na wa
kwanza kulia ni Mark Chimoto akiwa na mkewe Grace Chimoto.
Wajumbe wa mkutano wa baraza la wafanyakazi wa ofisi ya Takwimu (NBS)
wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi mkuu wa Wilaya ya Iringa
Dkt. Leticia Warioba
Mwenyekiti wa baraza la NBS Stanley Mahembe akifungua mkutano leo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika mkutano wa Tano wa Ofisi ya taifa ya Takwimu.
Mgeni Rasmi mkuu wa wilaya ya Iringa Dkt Leticia Warioba akisoma hotuba
ya Ufunguzi wa mkutano wa baraza la tatu la wafanyakazi wa ofisi ya
Taifa ya Takwimu.
0 comments:
Post a Comment