Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiushukuru uongozi wa Shirika la Bima la Taifa
baada ya kupokea hati ya bima yake ya maisha jana Ikulu jijini Dar es
salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha kumbukumbu ya miaka 50 ya
Shirika la Bima la Taifa toka Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake
Bw. Justine Mwandu jana Ikulu jijini Dar es salaam.Shirika hilo ambalo
limefufuk upya linaadhimisha miaka 50 ya kuanzisha kwake mwakani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipitia hati ya bima yake ya maisha baada ya
kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa Bw.
Justine Mwandu jana Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akipata taarifa fupi ya shirika hilo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Bw. Justin Mwandu jana Ikulu.
0 comments:
Post a Comment