Pages

Home » » MAITI YAKUTWA KWENYE KARAVATI MAENEO YA SAE KWA MBILINYI HUKU IKIWA IMEHARIBIKA VIBAYA

MAITI YAKUTWA KWENYE KARAVATI MAENEO YA SAE KWA MBILINYI HUKU IKIWA IMEHARIBIKA VIBAYA

 Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mbeya wakishuhudia tukio hilo la maiti kukutwa kwenye karavati hiyo mwili ambao unadaiwa kuwa ulikuwa umefichwa ndani ya karavati na umeonekana baada ya mvua kubwa kunyeesha na kuisukuma maiti hiyo nje
 Hali halisi ya mwili huo unavyoonekana mara baada kusukumwa na maji nje ya karavati hiyo

Hapa wananchi hao wakiulizana namna ambavyo tukio hilo limetokea na kujaribu kudadisi nani muhusika na namna gani wanavyoweza kuubeba kutokana na kuharibika sana huku jirani ya eneo hilo kulikuwa na mbwa ambaye alikuwa akiutumia mwili huo kama kitoweo

Picha na Ezekiel Kamanga
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger