Habari hii inayoonekana ya kuchekesha
inahusisha mkasa mzito uliotoke hivi karibuni ambapo Machangudoa wawili
walikamatwa na Jeshi la POLISI kwa shutuma za kupigana katika maeneo ya
maziko kinyume na sheria.
Taarifa zaidi zinadai kuwa akina
dada hao wakekuwa MASHOSTI kwa muda mrefu hivi sasa na kitendo wao kupigana
katika eneo nyeti kama Lile ni aibu sana. "Mara nyingi wamekuwa
wakionekana wanatembea pamoja kitu kinachoashiria kuwa walikuwa ni marafiki wa
muda mrefu sana, Lakini tunashanga leo kuwaona wanapigana hapa " Alisema
shahidi ambaye alikuwepo eneo la tukio.
Baada ya kukamatwa na kuhojiwa
makahaba hao walishutumiana na kurushiana maneno machafu huku kila mmoja akidai
kuwa ameibiwa bwana wake. "Nilikuwa nasikia muda mrefu kwmba
anatembea na bwana wangu na juzi nimemkuta baa anakunywa nae, kwahiyo leo
nimeamua nimkomeshe" alidai mmoja kati ya makahaba hao.
Vitendo vya UKAHABA vimekuwa gumzo
hivi sasa Barani Africa kwani Takwimu zinabainisha kuwa Idadi kubwa ya wanawake
ambao wanashindwa kuendelea na masomo kwa sababu moja ama nyingine basi
hujiingiza katika biashara hiyo muhimu ya kuuza miili yao.
Akitoa taarifa leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamanda Charles Kenyela, alisema kuwa wanashukuru wananchi ambao wameweza kutoa ushirikiano wa kukamatwa kwa wasichana hao ambao walikuwa wakifanya biashara ya ukahaba katika maeneo hayo kwa muda mrefu.
Mashuhuda wa tukio hilo, walisema kuwa wanalishukuru sana Jeshi Polisi kwa kuweza kuwakamata wasichana hao ambao wamekuwa wakifanya biashara hiyo ya ukahaba kwa muda mrefu.
"Tunalishukuru sana Jeshi la polisi kwa kuvunja kero hii ambayo imekuwa ikitukera tokea muda mrefu sana, yani danguro hili lipo tokea mwaka 1990, mimi nazaliwa nalikuta mpaka leo lipo ila leo ndiyo polisi wamekuja kuwakamata wahusika" Alisema mmoja ya vijana wanaoishi eneo hilo.
Shuhuda huyo aliongeza kuwa wasichana hao walikuwa wanafanya biashara hiyo kwa bei ya shilingi 2000, 3000 kwa muda mfupi (short time) na wateja wao ni vijana, akina baba pamoja na vijana ambao huwa
KWA STAILI HII UKIMWI UTAISHA
KWELLI???!! CHUKUA HATUA
0 comments:
Post a Comment