Pages

Home » » BURIANI WAZIRI WETU MSTAAFU NA MBUNGE WETU JACKSON MAKWETA. Steven Wassira aongoza mazishi kwa niaba ya Rais Kikwete.

BURIANI WAZIRI WETU MSTAAFU NA MBUNGE WETU JACKSON MAKWETA. Steven Wassira aongoza mazishi kwa niaba ya Rais Kikwete.

Nyumba ya Waziri wetu mstaafu na mbunge wetu Mstaafu Jackson Makweta. 
Spika wa Bunge la TZ Anne Makinda Akitoa heshima za mwisho.  

 Askofu Japhet Mengele wa KKKT Dayosisi ya Njombe kUSINI Akiongoza misa wakati wa mazishi ya Hayati Jackson Makweta.
WANAJESHI WA JWTZ WAKIWA WAMEBEBA MEZA KWA AJILI YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU
 Wanajeshi wa JWTZ Makambako na Mafinga wakiwa na mwili wa marehemu Jackson Makweta.
Mungu ailaze Roho ya marehemu Jackson Makweta mahali pema peponi Aaaaaaaaaamen........
MWAKILISHI WA Rais Steven Wassira na jopo la waombolezaji wakiwa kwenye sala ya mwisho kumuaaga Jackson Makweta.
Mwili wa Hayati Jackson Makweta ukiagwa.
viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa wilaya ya Wanging'ombe Esterina Kilasi,Josephene Matiro DC Makete wakiwa msibani leo.
Nyumbani kwa hayati Jackson Makweta ambako ndiko mazishi yamefanyika leo huko Hagafilo Njombe.
HATUA ZA MWISHO za mazishi ya makweta 


MKuu wa mkoa wa Njombe Capt.Mstaafu Asseri Msangi kushoto katikati ni Naibu waziri wa Ujenzi ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Njombe Magharibi Mhandisi Gerson Lwenge na kulia ni mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro wakiwa msibani Hagafilo Njombe leo hii.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger