Home »
» MAAJABU YA MUNGU KATIKA MAKUTANO YA BAHARI
MAAJABU YA MUNGU KATIKA MAKUTANO YA BAHARI
GHUBA YA ALASKA BAHARI ZINAPOKUTANA BILA MAJI KUCHANGANYIKA
|
Ghuba
ya Alaska hapa ndipo mahali ambapo bahari mbili zinakutana lakini maji
yake hayachanganyiki kama yanavyoonekana katika rangi mbili
tofauti!zilizotenganishwa na povu jeupe katikati. PICHA NA:kentsmith9
Inaweza
kuwa vigumu kuamini na mtu mwingine anaweza kusema picha hii
imetengenezwa katika mashine za picha, hasha! utafiti wa wanasayansi
umebaini ukweli huu baada ya kuchukua sampuli za maji ya pande zote
mbili na kugundua:
Maji haya hayawezi kuchanganyika kwa sababu ya tofauti za kiwango cha chumvi iliyomo katika maji-bahari haya
Kiwango
tofauti cha chumvi katika maji haya kinasababisha maji kuwa na uzania
usiofanana(density) hivyo kushindwa kuchanganyika.
|
0 comments:
Post a Comment