Jeshi
la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemfukuza kazi askari wake
wa kike, WP Amisa, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Polisi Magomeni
kutokana na utovu wa nidhamu.
Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova amesema,
Amisa amefukuzwa kazi kwa kuwa amekiuka maadili ya Jeshi hilo kwa
kitendo chake cha kupiga picha za utupu zilizoonekana katika mitandao.
0 comments:
Post a Comment