Nyayo za MUGASHA,mmoja wa Miungu wa Haya. Nyayo hizo wenyeji wanasema ni nyayo za MUGASHA. Ni nyayo mbili ziko mlimani kwenye mwamba. Zina urefu wa takribani sm 38.Watu wengi wanapatembelea mahala hapo kuona nyayo hizo na malipo ni kuweka sarafu za zamani au kuweka kahawa au kufunga fundo la nyasi na kuliweka sehemu hiyo ili usidhurike. Hayo yote ni maelezo niliyoyapata kutoka kwa wenyeji nami nilitakiwa nifanye hivyo ili kuzitalii nyayo hizo.
Picha na habari,J.Kempanju akiwa kwenye safari ya utalii ya mambo ya kihistoria kwenye ziwa Ikimba,Bukoba
0 comments:
Post a Comment