Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchunguzi ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu
wa Mwanachi Communications Ltd (MCL) Theophil Makunga (kulia)
akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Emmanuel Nchimbi ripoti ya
Kamati aliyoiundwa kuchuguza kifo cha aliyekuwa mwandishi wa Channel Ten
mkoani Iringa, Daudi Mwangosi .Kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo, Naibu
Kamishna wa Polisi (DCP) Issaya Mngulu. Mkabidhiano hayo yalifanyika
jijini Dar es Salaam jana.
Picha na Rafael Lubava
Picha na Rafael Lubava
0 comments:
Post a Comment