Pages

Home » » TATIZO LA UCHAFU WA MZINGIRA NCHINI NI TATIZO NANI MWENYE JUKUMU LA KULIMALIZA?

TATIZO LA UCHAFU WA MZINGIRA NCHINI NI TATIZO NANI MWENYE JUKUMU LA KULIMALIZA?

MTARO HUU WA MAJI MACHAFU UKO KATIKATI YA JIJI LA MWANZA MTAA WA LIBERTY AMBAPO PEMBENI YAKE WATU HUJISHUGHULISHA NA BIASHARA MBALIMBALI BILA KUJALI MADHARA YA KIAFYA  AMBAYO INAWEZA KUWAKABILI


BOMBA HILO LINATIRIRISHA MAJI TAKA KUTOKEA HOSPITALI YA BUGANDO NA KUINGIZA MAJI KATIKA MFEREJI HUU AMBAO KANDO YAKE KUNA KUNDI LA WAFANYABIASHARA WANAOJITAFUTIA RIZIKI YA KUUZA BIDHAA MBALIMBALI VIKIWEMO VYAKULA.


MFEREJI WA MAJI MACHAFU KAMA UNAVYOONEKANA PICHANI, HUKU PICHA YA CHINI BAADHI YA WAFANYABIASHARA NA WANUNUZI WAKITAFURA BIDHAA KATIKA SOKO MAARUFU ENEO LA LIBERTY JIJINI MWANZA
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger