Katibu Mkuu kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr.Abdullhamid Yahya
Mzee akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Ripoti ya
kamati ya uchunguzi ya kuzama kwa Meli ya M.V Skagit 18/07/2012 huko ukumbi wa
idara ya habari maelezo kikwajuni mjini Zanzibar .
Wandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari hapa nchini wakipokea
maelezo ya Ripoti yakamati ya uchunguzi ya kuzama kwa meli ya M.VSkagit
iliotokea tarehe 18/07/2012 mwakahuu .
Mwandishi wa Habari wa channal ten Munir Zakaria akiuliza suali kwa katibu Mkuu
kiongozi Dr.Abullhamid Yahya Mzee juu ya Ripoti ya kamati ya uchunguzi ya kuzama
kwa Meli ya M.V Skagit katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo
Zanzibar Yussuf Omar Chunda .
Katibu Mkuu kiongozi Dr. Abdullhamid Yahaya Mzee akionesha Ripoti kwa Waandishi
wa Habari hawapo pichani juu ya kuzama kwa Meli ya M.V Skagit iliotokea tarehe
18/07/2012 mwakahuu.
PICHA NA MAKAME MSHENGA -MAELEZO ZANZIBAR
0 comments:
Post a Comment