Pages

Home » » VIJANA WA MJI MDOGO MBALIZI MBEYA WILAYANI MBEYA VIJIJINI WAFANAYA USAFI WA KUZIBUA MIFEREJI NA KUTENGENEZA BARABARA

VIJANA WA MJI MDOGO MBALIZI MBEYA WILAYANI MBEYA VIJIJINI WAFANAYA USAFI WA KUZIBUA MIFEREJI NA KUTENGENEZA BARABARA

 

Vijana wa Mji mdogo wa Mbalizi wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya leo wamefanya kazi ya kufagia kuzibua mifereji na kutengeneza barabara kivutio kikubwa kilikuwa kwa kina dada kwani walijitokeza kwa wingi na kuchapa kazi sambamba na kaka zao
Hakika vijana wa Mbalizi tuwape pongezi kwa kazi nzuri wanayoifanya kwani ni vijana wachache sana wanaojitolea kufanya kazi hizo za usafi wa kujitolea

Vijana hao wa mbalizi wamesema si vema kila kitu kuiachia serikali waka kazi nyingine tunaweza fanya kama hizi za usafi na kutunza mazingira hapa vijana wakipeana mikakati ya kuboreza mjiwao wa mblizi kwa usafi
Hakika ina pendeza mweshimiwa diwani kata ya utengule usongwe ambae pia ni mwenyekiti wa kijiji cha Mbalizi mwenye koti la kijani Mh. Eliah Mkono na mkuu wa kitengo cha kinga na tiba Mbeya vijijini Emanuel Mwaigugu wakifurahia baada ya kuona vijana wamejitokoza kwa wingi kusafisha mji wao wa mbalizi
Mweshimiwa diwani akikagua kazi inayoendelea ya kuzibua mifereji na kutengeneza barabara
kazi inaendelea

Mweshimiwa diwani hakuwa nyumba katika kuwasaidia vijana
Kwenye kazi utani pia upo ili kazi iende vizuri dada na kaka wanataniana
Safi sana vijana wa Mbalizi
Mratibu wa Vijana wazalendo wa mji wa Mbalizi Gordon Kalulunga,akiwa na kiongozi mwenzake wakifurahia jinsi kazi inavyoendelea
Hali halisi ya mifereji ya mbalizi ni hii sasa vijana ndiyo wanaizibua
Baada ya kuzibuliwa kwa ujumla
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger