Global Publishers px,Ungo huwa na Tenki la Mafuta ambayo 'wajuvi' wanasema ni damu za watu.Kichupa hapo pembeni ndio tenki lenyewe!! |
Mwanza Yetu px,Hawa mashine zilizhemsha wakiwa angani huko Mwanza 'nadhani Radiator ilishindwa kufanya kazi vizuri' nyungo zikachemsha au mafuta yaliisha |
Fred Px, Udadisi umebaini kuwa ungo wa wachawi hutumia mafuta ambayo ni damu ya binaadamu.Huu ulishindwa kusafiri huko Mtwara.Tenki la Mafuta katika ungo huu ni kubwa...huenda huu una turbo kabisa!!! |
0 comments:
Post a Comment