MKUU WA MAJESHI TANZANIA JENERALI DEVIS MWAMUNYANGE
WAZIRI WA UCHUKUZI TANZANIA DR.HARRISON MWAKYEMBE
BAADHI ya wananchi wa wilaya ya Kyela
mkoani Mbeya wamewataka Mkuu wa majeshi Tanzania Jenerali Devis
Mwamunyange na Waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe kupeleka
maendeleo wilayani humo ikiwemo sehemu walikotoka(Nyumabni kwao) tofauti
na hali ilivyo sasa.
Hayo yalisemwa na mmoja wa wananchi wa wilayani humo alipotoa maoni yake katika kipindi ya Haba na haba kilichorushwa na redio BBC tarehe 27.01.2013.
Msikilizaji wa redio hiyo alisema kuwa licha ya viongozi hao kushughulikia kwa nguvu masuala ya kitaifa lakini ukifika nyumbani kwao ni aibu kwa kuwa na vumbi ambapo hata kipande cha Lami hakuna hasa eneo la Ikolo na Ngonga.
Majibu ya maoni hayo ya wananchi wa Kyela wanayo viongozi hawa yaani Mwamunyange na Mwakyembe.

0 comments:
Post a Comment