Home »
» MKUU WA WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA DR. MICHAEL KADEGE AMEJIKUTA KWENYE HALI NGUMU BAADA YA WANANCHI WA KIJIJI CHA MLOWO KUMZOMEA NA KUVURUGA MKUTANO
MKUU WA WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA DR. MICHAEL KADEGE AMEJIKUTA KWENYE HALI NGUMU BAADA YA WANANCHI WA KIJIJI CHA MLOWO KUMZOMEA NA KUVURUGA MKUTANO
|
MKUU WA WILAYA YA MBOZI
MKOANI MBEYA DR. MICHAEL
KADEGE AKIONGEA NA WANAKIJIJI CHA MLOWO MBOZI |
|
BAADHI YA WANAKIJIJI WA MLOWO WAKIMSIKILIZA MKUU WA WILAYA HIYO |
|
WANAUSALAMA WAKIWA MAKINI KWA LOLOTE LITAKALOTOKEA |
|
MWANASHERIA WA HALMASHAURI YA MBOZI AKIFAFANUA MOJA YA SHERIA ZA HALMASHAURI HIYO |
|
YEYOTE ATAKAEZOMEA NAMTUPA NDANI HAPA NDIPO HALI YA HEWA ILICHAFUKA KWA WANAKIJIJI WA MLOWO KUMSIKIA MKUU WILAYA AKITAMKA HIVYO |
|
MOJA YA WANAKIJIJI AKIMFUATA MKUU HUYO KUMPOKONYA KIONGELEO YAANI KAZI KUBWA |
|
BAADHI YA WANAKIJIJI HICHO CHA MLOWO WAKITULIZWA NA BAADHI YA VIONGOZI WA KIJIJI HICHO WAPUNGUZE JAZBA |
|
TUMECHOKA KUTUFANYA SISI WATOTO |
|
MKUU WA WILAYA AKISHAURIANA NA MOJA YA WANAKAMATI YA ULINZI NA USALAMA MAANA MAELEWANO HAKUNA TENA KWENYE MKUTANO HUO |
|
WANAKIJIJI HAOO WANAONDOKA MKUTANO UMEVUNJIKA HAKUNA JIBU KAMILI LILILOPATIKANA HAPO |
|
WAKUU HAOOO NAO WANAONDOKA |
|
KWA
UJUMLA JESHI LA POLISI LINABEBESHWA MZIGO AMBAO SIO WAKE MATATIZO
WAANZISHE WENGINE KUJA KUTULIZA WENGINE ENYI MNAOANZISHA MATATIZO
JARIBUNI KUYAMALIZA WENYEWE MAANA HAPO MABOMU YANGEPIGWA LAWAMA INGEKUWA
KWA JESHI LA POLISI HAYO NI MAONI YETU MBEYA YETU MANA TUMEONA SEHEMU
NYINGI HAYA YANAFANYIKA BAADAE LAWAMA ZINAHAMIA KWA JESHI LA POLISI |
|
WANAUSALAMA WAKIONDOKA KATIKA MKUTANO ULIOVUNJIKA
MKUU WA WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA
DR. MICHAEL KADEGE
AMEJIKUTA KWENYE HALI NGUMU BAADA YA WANANCHI WA KIJIJI CHA MLOWO
KUMZOMEA NA KUVURUGA MKUTANO WA KIJIJI AMBAO ULIKUWA NA MADHUMUNI YA KUTATUA MGOGORO ULIODUMU KWA MWAKA
MMOJA BAINA YA KIJIJI HICHO NA HALMASHAURI YA WILAYA KUHUSIANA NA MAKUSANYO YA
USHURU KWA WAFANYA BIASHARA.
AIDHA WANANCHI HAO WAMEPINGA KITENDO CHA MKUU WA WILAYA
KUMSIMAMISHA MWENYEKITI WA KIJIJI BWANA DAUD KATULE KWA TUHUMA ZA UBADHILIFU WA
FEDHA ZA KIJIJI , KUTOSOMA MAPATO NA MATUMIZI PIA KUCHAPISHA VITABU VYA
KUKUSANYA PESA NA KUTOWASILISHA FEDHA KATIKA OFISI YA ALMASHAURI.
KADEGE AMESEMA SABABU HIZO NDIZO ZILIMPELEKEA KUMSIMAMISHA
UONGOZI BWANA KATULE NA KWAMBA ALIITWA KWENYE KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA
MAPINDUZI NA HALMASHAURI YA WILAYA
AMBAPO IMEDAIWA KUWA ALIKIRI KUFUJA PESA HIZO NA KUAHIDI ATAZIREJESHA
LAKINI HAKUTEKELEZA HALI ILIYPOLEKEA KUSIMAMISHWA UONGOZI TANGU JANUARI 2013.
KUFUATIA MVUTANO HUO WANANCHI WALIFUNGA OFISI YA KIJIJI
MWANZONI MWA WIKI HII KUSHINIKIZA SERIKALI KUTATUA MGOGORO HUO.
MKUU WA WILAYA AMEAGIZA OFISI IFUNGULIWE MARA MOJA ILI
SHUGHULI ZA SERIKALI ZIENDELEE KAMA KAWAIDA AMBAPO OFISI ILIFUNGULIWA SAA 10.
00 CHINI YA MTENDAJI KATA JACKSON MWANA NA MTENDAJI KIJIJI JUDHITH MTEGA.
HATA HIVYO MKUTANO HUO ULIDHIBITIWA NA JESHI LA POLISI KWA
KUSHIRIKIANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA WILAYA AMBAPO WANANCHI WAMEBAKI
HEWANI KWA KUSHINDWA KUTATULIWA MGOGORO HUO.
|
0 comments:
Post a Comment